Mlundikano wa uchafu
ndiyo chanzo cha Kipindupindu
Miongoni mwa hatua za msingi katika kujikinga na maambukizi
ya kipindu pindu ni kunawa mikono wakati wowote kabla ya kutayarisha au kula
chakula, kusafisha vyombo kama sahani, vikombe n.k. Nawa mikono kabisa kwa
sabuni – kiganja, upande wa nyuma wa mkono, katikati ya vidole na kucha kwa
sekunde baada ya kwenda haja na kabla ya kula na kuwa na akiba ya maji
yaliyochemshwa pasipo na maji safi ya bomba.
Chanzo cha Habari:
Mtandao wa intaneti

No comments:
Post a Comment