Monday, 1 March 2021

Matunda yanayo boresha mfumo wa KINGA YA MWILI

Katika kipindi hiki cha hofu ya corona ni muhimu sana kuhakikisha kinga yako ya mwili iko juu muda wote. Lakini pia ni vizuri katika maisha yetu ya kila siku kuhakikisha tunakula mlo kamili, kwani wansema waswahili kinga ni bora kuliko tiba. Miongoni mwa matunda yanayo boresha mfumo wa kinga mwilini ni pamoja na : Machungwa, Ubuyu, Limao, Chenza,ndizi. Kwa bahati nzuri kabisa matunda yote haya yanapatikana kwa urahisi kabisa Tanzania, basi tusijihini…

Matunda yanayo boresha mfumo wa KINGA YA MWILI

Katika kipindi hiki cha hofu ya corona ni muhimu sana kuhakikisha kinga yako ya mwili iko juu muda wote. Lakini pia ni vizuri katika maisha...