Kwa mujibu wa ufafanuzi uliotolewa na kutangazwa na Shirika
la Afya Duniani WHO katika mkutano wake wa tarehe 19-22 Juni 1946 na kusainiwa
na wawakilishi wa nchi 61 duniani, 'afya ni hali ya mtu kuwa vizuri kimwili,
kiakili na kijamii na sio tu kutokuwa na ugonjwa au udhaifu(Health is a state of complete physical,
mental and social well-being and not merely the absence of disease or infirmity).'
Ufafanuzi huo ulianza kutumika Aprili mwaka 1948 na hadi hii leo maana hiyo ya
afya haijabadilika. Ufafanuzi huo unamaanisha kwamba, tunaposema mtu ana afya
sio tu tunakusudia kuwa mwili wake hauna maradhi, upungufu au udhaifu bali pia
mtu huyo anatakiwa asiwe na matatizo ya kimwili, kiakili na hata kijamii.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Matunda yanayo boresha mfumo wa KINGA YA MWILI
Katika kipindi hiki cha hofu ya corona ni muhimu sana kuhakikisha kinga yako ya mwili iko juu muda wote. Lakini pia ni vizuri katika maisha...
-
Kwa mujibu wa ufafanuzi uliotolewa na kutangazwa na Shirika la Afya Duniani WHO katika mkutano wake wa tarehe 19-22 Juni 1946 na kusainiw...
-
Homa ya uzazi ni homa ambayo hutokea kwa mwanamke wiki sita baada ya kujifungua,hali hii pia huweza kutokea kwa mwanamke alie jifungu...
-
Upungufu wa damu mwilini ni hali ya mtu kuwa na upungufu wa haemoglobin kwenye mzunguko wa damu tofauti na kiwango maalum cha kitaala...